Mama Bird Explains How the Internet Works | Ubongo Kids #internet #internetculture #maelezo

Mama Bird Explains How the Internet Works | Ubongo Kids #internet #internetculture #maelezo
Mama Bird Explains How the Internet Works | Ubongo Kids #internet #internetculture #maelezo
2024
0m
English
Ungana na Mama Ndege anapomweleza Tiny Tembo na marafiki zake jinsi mtandao unavyofanya kazi na kutuweka sote tukiwa tumeunganishwa! Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika. Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: /ubongokids /ubongotz Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu
You Might Also Like
Movie★ 0KCSE 2019 PAPER 1
Movie★ 0"Why Kenyans Feared Nicholas Biwott | Buried Secrets"
Movie★ 0How the 'Afghanistan War' Led an Ex-US Soldier to 'Kenya'
Movie★ 7.3SS 3 English
Movie★ 0Grade 1 English
Movie★ 7.2KS4 English
Movie★ 0Presentations: Speaking so that People Listen
Movie★ 7.6KS1 English
Movie★ 0Tricky English Grammar
Movie★ 0Nursery Rhymes | Words & Sounds
Movie★ 7.5Primary 4 English
Movie★ 7.3