NTheNkiri
Mama Bird Explains How the Internet Works | Ubongo Kids #internet #internetculture #maelezo

Mama Bird Explains How the Internet Works | Ubongo Kids #internet #internetculture #maelezo

MovieEnglish

2024 · 0m

Synopsis

Ungana na Mama Ndege anapomweleza Tiny Tembo na marafiki zake jinsi mtandao unavyofanya kazi na kutuweka sote tukiwa tumeunganishwa! Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika. Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: /ubongokids /ubongotz Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu

You Might Also Like

Comments

1 Comments

Mama Ndege aeleza jinsi mtandao unavyofanya kazi | Ubongo Kids #internet #internetculture #maelezo
Mama Ndege aeleza jinsi mtandao unavyofanya kazi | Ubongo Kids #internet #internetculture #maelezoOct 28, 2025

Ungana na Mama Ndege anapomweleza Tiny Tembo na marafiki zake jinsi mtandao unavyofanya kazi na kutuweka sote tukiwa tumeunganishwa! Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika. Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: /ubongokids /ubongotz Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that ent