![YEBO [Nitawale] - Vestine & Dorcas (Official Video)](https://pbcdnw.aoneroom.com/image/2025/07/07/7426437626db59cd447e83e8102d6b49.jpg)
YEBO [Nitawale] - Vestine & Dorcas (Official Video)
2025 · 8m
Synopsis
Notice:Click CC on Your Screen for Reading English Subtitles MIE Music Presents . YEBO ( Nitawale ) 🎵 Director: Chriss Eazy Music: Popieeh Lyrics ✍️: Niyo Bosco , Martin Mugisha, M.Irene Artenate Director: Sinta Filmz Dop:Figma 🎸 Guitars: Arsene & Gasige Arnoud Saxophone 🎷 : Alfa Saxo Set Designer: Honore Wardu Set Manager :Hussein Traole Colorist : Ten Lee Dop: Figma Set Designer: Honore Wardu BTS Photoshoot: Mine Pictures KIT Manager :Incredible Costumer designer : Incabure, Young C , OBED Location : Rwanda 🇷🇼 EXECUTIVE PRODUCER: M.Irene Lyrics: Mwokozi wangu ,Nakuitaji zaidi Na Mwoyo wangu , Unaliya Uwepo wako Nimejalibu on my own ,Lakini Siwezi Nakutegemeya Usiniache kamwe Nikiwa bado napumua ,Jina lako ndilo nitajivunia Tena Sitaki kitu ca kunikataza ,Kuwa chombo chako Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe Chorus: Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana Overpower All of me , the way you truly Desire Natamani kuongozwa na Mkono wako Wenye nguvu The Fresh Air into my heart Amen - Amen -Amen YEBO- YEBO Jesu , YEBO - YEBO Jesu YEBO -YEBO Ngidinga wena E’Mungu nitumikishe ,Katika fahida za mbingu Nisimamiye vizuli ,Ufalme wako Ndani ya Ulimwengu Najaze nguvu nipambane, Uzaifu wangu uondowe Nidhalawu mishale ya machungu Hadui anaonipiga Hawa wanataja Magari ,Wengine wanataja mafarasi Bali sisi Tunalitaja Hilo jina la bwana x 3 Chorus: Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana Overpower All of me , the way you truly Desire Natamani kuongozwa na Mkono wako Wenye nguvu The Fresh Air into my heart Amen - Amen -Amen YEBO- YEBO Jesu , YEBO - YEBO Jesu YEBO -YEBO Ngidinga wena Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe Hayayaya, Sitaogopa Kamwe/ Bonde Mauti Sitaogopa kamwe/ Sitaogopa Sitaogopa kamwe Kwenye Shimo la simba / Sitaogopa kamwe Katik
Cast
Vestine and Dorcas
Singer
You Might Also Like
Rani Rastaciti - Illicit (Official Video)
Ciara, Diamond Platnumz - Low (Official Music Video)
Skillibeng - Ivany (Official Audio)
Vybz Kartel - Colouring This Life
Skillibeng - Deja Vu (Official Music Video)
Tommy Lee Sparta - Feeling Lonely Official Music Video
Chappa Vybz - Mek Money (Official Video)
Jahvillani, Countree Hype - Nudity (Official Video)
ALEX KASAU KATOMBI-KAWANO(OFFICIAL VIDEO)sms “SKIZA 5804909 to 811
Paco General - Bad Likkle Woman (Official Music Video)
Daycare
Bob Marley Greatest Hits Reggae Songs 2023 | Bob Marley Full Playlist
Comments
2 Comments
félicitations pour votre chanson vraiment c'est trop cool j'adore