
Video for Friends | International Friendship Week! | Ubongo Kids - Swahili Episodes
2017 · 14m
Synopsis
Kwa Siku ya Kimataifa ya Urafiki tunawaletea mchanganyiko wa video zinazohusiana na urafiki! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
You Might Also Like
MATHS TOPIC QUESTIONS
Akili and Friends at the Market | New Words with Akili and Me | African Educational Cartoons
“Kenya’s Game of Thrones: Why Gachagua Fell?”
How the 'Afghanistan War' Led an Ex-US Soldier to 'Kenya'
KCPE 2022
KCSE 2019 PAPER 1
KCSE 2019 PAPER 2
ECZ MATHS GRADE 12
ECZ PHYSICS GRADE 12
General maths
WAEC 2019 MATHS QUESTIONS THEORY
JAMB 2020
Comments
1 Comments
Kwa Siku ya Kimataifa ya Urafiki tunawaletea mchanganyiko wa video zinazohusiana na urafiki! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo