NTheNkiri
Israel Mbonyi - Kaa Nami

Israel Mbonyi - Kaa Nami

MovieAfrobeats

2024 · 13m

Synopsis

Stream at https://bfan.link/kaa-nami-2 Keep up with Israel Mbonyi at https://israelmbonyi.com https://instagram.com/israelmbonyi https://facebook.com/israelmbonyii https://twitter.com/israembonyi https://www.tiktok.com/@israelmbonyi Contacts : Informations : Info@Israelmbonyi.com Bookings : Booking@israelmbonyi.com Kaa nami __________ Chorus Ikiwa nimepata neema kwako, unikumbuke Jicho lako liwe juu yangu nyakati zote Wema wako unisindikize Hadi tamati Hili ni ombi langu, nakumwagia moyo Ninachoomba kaa nami ikiwa nimepata neema kwako 1. Kutakuwa milima haitaondolewa Kutakuwa na mito na sitaweza kuvuka Sio kila ombi litajibiwa nipendavyo Sio kila wimbo utakaotuliza moyo Nimekupata, nina mtetezi Unionyeshe njia zako Nikujue. 2. Kumbuka hayo mema niwaombeayo wanaonifurahia maadui zangu nao, uwape kukujua Uwabaliriki kwa utele uwanyeshee mvua yamkini watapata kuona Wapumue upendo. Tunaoshiriki hii huduma, uwape uamsho Uwabaliriki kwa utele , Baba wala-hi-sishie. 3.Kwa maswali na majibu, umasikini utajiri, usumbufu utulivu Ewee Mwokozi kaa nami Kwa kupanda kwa kushuka, habari za kuvunja moyo Kwa uzushi na uongo Ewee Mwokozi kaa nami. ©12stonesRecord

Cast

Israel Mbonyi

Israel Mbonyi

Singer

You Might Also Like

Comments

1 Comments

Israel Mbonyi - Kaa Nami
Israel Mbonyi - Kaa NamiDec 18, 2024